Jumatatu, 11 Januari 2016

CHEKA NA HII


Jamaa alikwenda salon wakati ananyolewa akaingia mwanadada mrembo. Jamaa akaamua kujaribu bahati yake
Jamaa;mambo?
Dem:poa.
Jamaa;Mimi na wewe tunaweza kuongea baadae?
Dem:kuhusu nini?
Jamaa:Nimekupenda nataka nikutoe out.
Dem:Sawa ila nita mwambia nn mume wangu?
Jamaa;Aah hilo sio tatizo mdanganye tu. Mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalin.
Dem;mwambie mwenyewe huyo apo anae kunyoa......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni